Ijumaa, 18 Agosti 2017

KARIBU MAKAMBI MTAA WA MANZESE 2017

Baadhi ya Matukio katika Picha ya yaliyojiri katika Sabato maalum ya Idara ya Huduma za watoto kanisa la Waadventisa wa sabato Sinza, August 12, 2017

Watoto ambao waliongoza ibada ya Sabato hiyo wakijiweka wakfu kwa ajili ya kuanza ibada


Watoto waliohudumu kama Mashemasi wa zamu wakiingia, tayari kwa kuanza  ibada

Washiriki wakifuatilia kwa makini Ibada ya Sabato maalum ya Idara ya Huduma za Watoto

Kwaya ya Watoto ikiimba

Kwaya ya Vijana Sinza SDA ikihudumu katika Sabato ya Watoto kanisa la Waadventista wa sabato Sinza

Baadhi ya Picha za Sabato ya Rale ya Wainjilisti katika Mtaa wa Manzese SDA. Ambapo Mkurugenzi wa Huduma za Uchapaji ECT, Pr. Amosi Lutebekela alihudumu. August 5, 2017Pr. Amos

Mkurugenzi wa Huduma za Uchapaji ECT, Pr. Amos Lutebekela akihudumu katika rale ya wainjilisti iliyofanyika katika kanisa la Waadventista wa sabato Manzese.
Mchungaji wa kanisa la Waadventista wa Sabato, Mtaa wa Manzese Pr. Elitabu Kajiru
Baadhi ya washiriki wakifuatilia Ibada ya rale ya Wainjilisti kanisani ManzeseBaadhi ya Wainjilisti waliohudhuria rale ya Wainjilisti