![]() |
| Watoto ambao waliongoza ibada ya Sabato hiyo wakijiweka wakfu kwa ajili ya kuanza ibada |
![]() |
| Watoto waliohudumu kama Mashemasi wa zamu wakiingia, tayari kwa kuanza ibada |
![]() |
| Washiriki wakifuatilia kwa makini Ibada ya Sabato maalum ya Idara ya Huduma za Watoto |
![]() |
| Kwaya ya Watoto ikiimba |
![]() |
| Mzee wa Kanisa Jackson Nyatega na Kiongozi wa Uwakili Kanisani Reid Mchome wakifuatilia Ibada hiyo |
![]() |
| Mzee Kiongozi Joseph Kengela akiongoza ibada ya Kubariki Mtoto wa Mshiriki na Shemasi Mkuu wa kiume Mr. Kelvin Tumaini aliyeambatana na Mkewe. |























Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Toa maoni hapa...