Jumatano, 19 Julai 2017

Mkutano wa Umoja wa Watanzania Waadventista waishio Marekani (TAUS) umemalizika hivi karibuni ambapo watanzania hao wakichangia Dola za Kimarekani 12,000 sawa na Shilingii 27 Milioni za Tanzania kwa ajili ya miradi ya utume wa Injili nchini Tanzania













Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Toa maoni hapa...