Alhamisi, 15 Juni 2017

Usipange kukosa kuhudhuria Mkutano wa huu wa Injili katika Viwanja vya Ninja, Sinza Palestina


Yaliyojiri Katika SABATO YA "UJIRANI MWEMA" Sinza SDA -June 3, 2017

Muimbaji Angel Magoti akitoa huduma ya Nyimbo

Kundi la The Voice TZ na Muimbaji Angel Magoti wakitoa huduma ya Uimbaji
Kwaya Ya Kanisa la Lugalo SDA ikitoa huduma ya uimbaji siku hiyo.

Dada Janeth Mpangala (Mshiriki wa Sinza SDA) akiwa na Moja ya Wageni Maalum ambao ni watu wenye ulemavu wa Ngozi (Albino) -Kituo cha Ilala
Viongozi wa Shgule ya Sabato Sinza na Waandaji wa Sabato ya UJIRANI MWEMA 2017


Kwaya ya Vijana Sinza SDA ikitoa huduma



Waimbaji Dorothea, Neema na Witness wakimtukuza Kristo kwa uimbaji


Dada Neema Miongoni mwa viongozi wa Shule ya Sabato Sinza SDA walioandaa Sabato ya Ujirani Mwema



Mwl. Daniel John akiongoza huduma ya uimbaji





Mzee wa Kanisa na Mzee Mshauri Jackson Nyatega

Mzee wa Kanisa na Mshauri wa Idara ya Shule ya Sabato Jackson Nyatega Akilisha Keki mmoja wa waumini waliohudhuria Sabato ya Wageni Sinza SDA
  • Waandaaji wa siku maalum ya "Ujirani Mwema",  Mkurugenzi wa shule ya sabato 
  • Mrs. Kulwa Majenga na Mkurugenzi Msaidizi Mrs. Mecktrida Mfui.



Mtaa wa Manzese nao ulipata uwakilishi katika kambi la Vijana Wakubwa Msata - April, 2017


Wawakilishi wa Idara ya Vijana Mtaa wa Manzese katika kambi la Msata April, 2017

Kwaya ya Sauti ya Nyikani ilikuwa ni moja ya kwaya tatu zilizopata nafasi ya kufungua mkutano wa TMI Mwenge SDA, Juni 10, 2017

Sauti ya Nyikani ikihudumu katika mahubiri ya TMI Mwenge, yanayorushwa kwa njia ya Satelite kupitia Morning Star TV

Kwaya ya Vijana Sinza SDA yapata tuzo ya cheti cha Shukrani kwa Utumishi bora katika kazi ya Mungu kanisani Sinza

Mzee wa Kanisa Jackson Nyatega Akikabidhi cheti cha Shukrani kwa wawakilishi wa Kwaya ya Vijana Sinza SDA

Siku Ya Idara ya Watoto Sinza SDA

Kwaya ya Watoto Sinza SDA ikitoa huduma katika Sabato hiyo

Kwaya ya Vijana Sinza SDA ikitoa huduma ya Uimbaji katika Sabato ya Idara ya Watoto Kanisani Sinza