Jumatatu, 6 Julai 2015

MBARAKA WA MASTER GUIDE 2 WAPYA NDANI YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO SINZA


Master Guide Rebecca
Master Guide Malekela
Miongoni mwa makanisa yaliyofanikiwa kuhitimisha Master Guide mafunzoni katika kambi la mafunzo kwa vijana huko Chimala, Mbeya ni Kanisa la Sinza SDA kutoka Dar es Salaam.
Master Guide hao wapya wamefuzu mafunzo ya Kozi ya Kiongozi Mkuu ndani ya kanisa, hivyo kwa neema ya Mungu wanatarajiwa kulisaidia kanisa kwa kiwango kikubwa katika nyanja ya Uongozi na Malezi.
Pia kwa ujumla ndani ya Mtaa wa Manzese ni jumla ya Master Guide 8 wamehitimu na kutunukiwa pini za Master Guide kama kitambulisho cha taaluma waliyonayo.

Master Guide Tumain




sinza



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Toa maoni hapa...