Monday, June 22, 2015
MOTTO: TAIN 2015, UBUNIFU ZAIDI.
Mafundi mitambo wakiweka mambo sawa tayari kwa kuanza Mkutano. |
Mchungaji HARUNI KIKIWA akiwa anaongoza Uimbaji katika Mkutano. |
Somo la Ufunguzi wa mkutano wa TAIN 2015, limetolewa na Mch. Bina kutoka ECD likijengwa kutoka katika kitabu cha Mathayo 24. Aidha amesisitiza viongozi wa Tehama kuwa makini kwani hizi ni siku za mwisho.
"Bwana atakomesha maisha yetu siku moja na hivyo tunapaswa kutengeneza maisha yetu na sio kujiinua kwa mafanikio yetu" Amesema Mch. Bina
Pia ameongeza kusema, "Kama wanatehama wa Kanisa tunapaswa kujikita kumuinua Yesu na kwakuwa sisi ni wajumbe wa Injili ya Yesu".

Mch. Bina katika somo la Ufunguzi Asubuhi ya kwanza ya Mkutano. |
Pr/Dr. Godwin Lekundayo President wa NTUC akiendesha somo. |
Pastor Dr Lekundayo akimkabidhi Tuzo mmoja wa washiriki wa semina ya Mawasiliano Pr Mika kwenye mkutano mkubwa wa wana mawasiliano uliofanyika mjini Arusha 21 -25 june 2015. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Toa maoni hapa...