![]() |
Master Guide Kelvin Peter(Aliyevaa Uniform) akipata chai na Vijana wa kambi |
![]() |
Balozi Neria, Neema, na Suzy kutoka kanisa la Sinza pamoja na AY Mariamu wakifuatilia mafunzo kwa makini |
![]() |
Vijana kwa makini wakisikiliza ibada siku ya Sabato |
![]() | ||
|
![]() |
Master Guide Memory (kushoto) |
![]() |
Master Guide Bibi Mpungu Mkuu wa kamati ya Mapishi kambini Chimala |
![]() |
Master Memory & Shedrack |
![]() |
Shedrack Steven Mkurugenzi wa Watafutanjia |
![]() |
Master Shedrack akitengeneza mahali pa huduma ya choo |
![]() |
Master Kelvin & Memory wakipika kwa ajili ya vijana |
![]() |
Vijana wa Mtaa wa Manzese unaojumuhisha makanisa ya Sinza, Tandale na Manzese wakiwa njiani kuelekea Chimala, Mbeya katika kambi la mafunzo la Watafutanjia June 21, 2015. |
Makazi ya Wanakambi |
![]() |
Watafutanjia Daniel & Chibasa katiak pozi wakifurahia mazingira ya kambi |
![]() |
Watafutanjia Pendo & Emmy katika pozi kambini Mbeya |
![]() |
Adventurer Alice akiwa na baadhi ya Pathfinders |
![]() |
Adventurer Alice katika pozi |
![]() |
Vijana wakipata huduma ya chai kwa kutumia meza ya ubunifu kabisa kambini, Hii ndyo aina ya meza maarufu inayotumika kambini kwa ajili ya chakula, |
![]() |
![]() |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Toa maoni hapa...