Muimbaji Angel Magoti akitoa huduma ya Nyimbo |
Kundi la The Voice TZ na Muimbaji Angel Magoti wakitoa huduma ya Uimbaji |
Kwaya Ya Kanisa la Lugalo SDA ikitoa huduma ya uimbaji siku hiyo. |
Dada Janeth Mpangala (Mshiriki wa Sinza SDA) akiwa na Moja ya Wageni Maalum ambao ni watu wenye ulemavu wa Ngozi (Albino) -Kituo cha Ilala |
Viongozi wa Shgule ya Sabato Sinza na Waandaji wa Sabato ya UJIRANI MWEMA 2017 |
Kwaya ya Vijana Sinza SDA ikitoa huduma |
Waimbaji Dorothea, Neema na Witness wakimtukuza Kristo kwa uimbaji |
Dada Neema Miongoni mwa viongozi wa Shule ya Sabato Sinza SDA walioandaa Sabato ya Ujirani Mwema |
Mwl. Daniel John akiongoza huduma ya uimbaji |
Mzee wa Kanisa na Mzee Mshauri Jackson Nyatega |
Mzee wa Kanisa na Mshauri wa Idara ya Shule ya Sabato Jackson Nyatega Akilisha Keki mmoja wa waumini waliohudhuria Sabato ya Wageni Sinza SDA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Toa maoni hapa...