Mtumishi wa Mungu Ashery Anthony akinena na waumini waliohudhuria ibada ya Sinza leo |
Kwaya ya kanisa la Sinza Sauti Ya Nyikani ikimtukuza Mungu katika ibada ya leo |
Kwa unyenyekevu mbele za Mungu waumini hawa walikuwa wakifuatilia Neno la Mungu kwa umakini kabisa. |
Wa kwanza kabisa kutoka mbele ni Shemasi Mkuu Robert Petro akifuatilia kwa makini ibada ya leo. |
Waumini wakifuatilia hubiri |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Toa maoni hapa...