Jumamosi, 4 Julai 2015

WAJUMBE WA KIKAO CHA GC, 2015 WATUMIA MFUMO MPYA WA KIELECTRONIC KUPIGA KURA

BOFYA HAPA KUONA VIDEO
Mchungaji Dr. Blasiusc Luguri akisifia mfumo mpya wa kielectronic uliotumika katika kuchagua viongozi wa GC mwaka huu 2015.
Apongeza jitihada za wajumbe kwenye kupata viongozi wakuu wa baraza kuu(GC) na akisema hii ni kazi ya Mungu na Roho wa Bwana amewaongoza wajumbe kufanya hivyo na wote tujiandae kwa ujio wake kurudi mara ya pili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Toa maoni hapa...