Jumamosi, 18 Julai 2015

WATATU WAMEJITOA KIKAMILIFU KWA AJILI YA UBATIZO KATIKA IBADA YA LEO ILIYOENDESHWA NA MZEE WA KANISA Mr. Ashery Anthony

Wa kwanza kutoka kulia ni Karani wa kanisa Mr. Joseph Kengera akiandikisha majina ya makamanda hao wa Yesu walijitoa kwa ubatizo katika ibada ya leo.
Ikiwa ni katika kutokuionea aya imani juu ya Yesu Kristo, vijana watatu leo wamemkataa shetani mbele ya washiriki wa kanisa la Sinza kwa kuamua kujitoa kikamilifu kwa ajili ya ubatizo wa maji mengi kupitia kanisa la waadventista wa Sabato Sinza.
Kutoka kulia ni Mzee wa Kanisa Saulo Mageta, Mzee Reid B. Mchome na Karani wa kanisa Joseph Kengera akiandikisha vijana waliojitoa kwa ajili ya ubatizo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Toa maoni hapa...