Jumamosi, 4 Julai 2015

KANISA LIMEKUBALI KUREJEA KWA KUNDI LILILOJITENGA NA KANISA NCHINI HUNGARY TANGU MWAKA 1975

World Church welcomes back Hungarian splinter group

Baada ya miaka 40 ya utengano, sasa yametimia katika kikao cha Mkutano Mkuu wa kanisa mwaka 2015, baada ya Kanisa ya ulimwenguni kukubali na kupokea maridhiano ya kihistoria kati ya kanisa la Waadventista Hungary na Kundi la Breakaway linalojulikana kama KERAK.

Kanisa la Waadventista wa Sabato katika nchi ya Hungary lilipata mpasuko mnamo mwaka 1975, takribani miaka 40 sasa iliyopita,
Kanisa nchini Hungary lina jumla ya washiriki 4,629 wanaoabudu katika makanisa 104 wakati kundi la KERAK lina jumla ya washiriki 1,500 hadi 1,800.
Tayari jumla ya washiriki 600 wa KERAK watarudia ushirika wao ndani ya Kanisa hivi karibuni lakini pia bado jumla ya washiriki 400 hawajaonesha utayari wa kurejea kanisani na wengine wapo wazi kwa wazo hilo la maridhiano.

Baada ya muda mrefu wa kutafuta maridhiano haya kupita bila mafanikio, ilikuwa mnamo mwaka 2011 pale kizazi kipya cha viongozi wa KERAK walipoanzisha mchakato wa kufanya mazungumzo na Uongozi wa Konference na Union. Baada ya kuona kundi la KERAK limetamani kukubali kufanya mazungumzo ya muafaka Kiongozi wa Kanisa Rais Ted N.C.Wilson aliomba jambo hilo liangaliwe kwa umakini kwa kuhakikisha mikakati thabiti ya kukutana viongozi wa kundi hilo inawekwa ili kupata muafaka mapema iwezekanavyo.

Ni hadi ilipofika tarehe 23/04/2015 ndipo kanisa na kundi hilo lilifikia maridhiano na kuwekeana sahihi kuonesha kurudi rasmi kwa kundi hilo ndani ya kanisa la Waadventista nchini Hungary na hatimaye kundi hilo kupokelewa rasmi katika kikao cha Mkutano Mkuu wa kanisa kinachoendelea sasa.

THE LEADER OF THE BREAKAWAY CHURCH SAYS IT IS A DREAM COME TRUE.

July 02, 2015 | San Antonio, Texas, United States of America |
An inspiring moment unfolded on the stage of the General Conference session on Thursday when Raafat Kamal, president of Trans-European Division, told of a historical reconciliation between the Hungarian Adventist Church and the Christian Advent Community, a breakaway group also known as KERAK.
“It is unbelievable that it could happen,” KERAK president János Cserbik said in an interview. “My first emotion on the platform was: a dream fulfilled.” 
The KERAK constitution always stipulated that the movement’s members would return to the church one day, he said.
That day came after 40 years of separation when he and Tamás Ócsai, president of the Hungarian Union Conference, signed a document titled “Joint Declaration on Settling the Past and Building a Common Future” on April 23. The church split in the Soviet era over differences, mainly on how closely the church could be linked to the state.

“If you see them, embrace them and pray with them,” Kamal urged session attendees, referring to the architects of the achievement standing with him on the platform, including Cserbik, Ócsai, and KERAK secretary Zoltan Bodolai. “God gave them courage . . . to put behind the pain, the challenges.” 
The challenges were significant, Kamal said, noting that union presidents, division presidents, and General Conference presidents had failed to reach this point. But the issue is not completely resolved even now. About 400 of KEREK’s 1,600 members don’t wish to return to the Adventist Church. Married couples have split over the issue, Cserbik said.

KERAK will continue to exist for a while to take care of these hurting members, he said.

For this reason, Cserbik said his second emotion on the platform was best expressed by the question, “What if it goes wrong?” Together with the joy of reuniting with the church, he said he feels the burden of the hesitating members.

Bodolai, the KERAK secretary, said he felt relieved.
“Big fights are behind us,” he said. “The church welcomed us [today] with open arms, and we find new brothers and sisters every day. I am grateful to God because He made this healing process possible.”
Adventist and KERAK leaders met almost weekly over the past year and came to an understanding that the most important form of unity is spiritual unity, Ócsai said. 
General Conference president Ted N. C. Wilson underscored the importance of spiritual unity when he prayed for the Hungarian church at the end of Kamal’s report.
“May the reconciliation in Hungary be seen all over the world,” he said.
Norel Iacob is editor of Signs of the Times, Romania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Toa maoni hapa...